Yabesi Consult Co Ltd
Member
- Jan 13, 2018
- 38
- 60
Kwa maitaji ya ramani, gharama za ujenzi na kujengewa nyumba maeneo yoyote Tanzania tuwasiliane kwa namba 0659215501.
Fundi akishajitangaza zikaanza kuingia simu mbili tatu tayari anajiona fundi mkubwa, anavimba kichwa na kuanza kuropoka bei za ajabu ajabu.Shida ya mafundi mkiipata kazi mnataja bei kubwa mkikusudia kumaliza shida zote kwenye hiyo kazi moja, be friendly, cost friendly, be In works daily,
Nyumba ya vyumba viwili na kasebule, charge zako ni kiasi gani mpaka kukamilika!
Choo, jiko, bafu store incl.
mm ni Quantity Surveyor ( mkadiliaji majenzi) kwa anayeitaji uduma ya kuandaliwa Boq ya kuonesha garama za ujenzi wa nyumba yake au kwa kuombea mkopo pia kuandaliwa materials ambayo yataonesha nyumba yake inatumia material gan na kias gan na garama kiasi gani pia ata ukitaka kujengewa kwa bei nafuu kabisa bila kusahau kuchorewa raman nzuri na bora nicheki watsap 0753757303 /0677400169/0658400165 napatikana Dar es salaam pia nna kampuni ya ujenzi lupama Engineering.Kwa maitaji ya ramani, gharama za ujenzi na kujengewa nyumba maeneo yoyote Tanzania tuwasiliane kwa namba 0659215501.
View attachment 2507737