Plot4Sale Kiwanja kinauzwa, King’azi njia ya Kinyerezi kwenda Mbezi 25 kwa 20

goldcall

JF-Expert Member
Oct 20, 2017
394
535
Kiwanja kiwanja Bei nzuri Bei ya offer, kiwanja ni chakwangu mwenyewe, hakuna udalali, umeme na maji vipo eneo la kiwanja.

Maendeleo na nyumba zimejegwa sana, kiwanja ni hatua 25 kwa 20 Bei ni 7.5 Mil, usafiri wa bajaji kutoka eneo husika kwenda mbezi au kinyerezi pia airport piga simu 0693300971

IMG_0589.jpg

IMG_0593.jpg

IMG_0591.jpg

IMG_0590.jpg

IMG_0594.jpg
 
Mkuu Kama hujauza naweza kuja kukuona jumatano nitakapo rudi Dar Niko mkoani narudi jumanne then jtano tuonane
 
Back
Top Bottom