Hili dude nilikuwa naweza kupikia kila kitu kasoro UGALI TU. KWA SABABU UGALI unahusisha kusonga. Wakati niko single.
Lipo sokoni kwa sasa sina matumizi nalo... NIMEOA. VERY STRONG.
BEI KITONGA...
Hello waungwa nauza Fiat yangu ya kubebea mchanga Iko kwa Mrombo ARUSHA . Iko vizuri sana
Ni kuwasha na kwenda Korongoni . Sababu za kuuza ni madereva wananizingua . Bei ni milioni 15 maongezi yapo
Ukumbi mpya wa KIMATAIFA Upo Masaki Dar wa mikutano na matamasha unaitwa The super dome
una kila kitu ndani yake
Fixed sound system
LED Screen
Stage
Fixed Lights
Fixed Camera
Tables and...
Sabato njema!
Ni HP, HDD ni 500GB, CPU ni 2.4 GHZ, RAM ni 8GB.
NB: Haina tatizo lolote isipokuwa battery yake haikai na chaji zaidi ya dk 30.
Location ni DSM.
Nataka niongeze hela ninunue mpya...
Kina ukubwa wa sqm 1566 kipo karibu na magorofa ya NSSF kimepimwa tayari hati inatoka moja kwa moja kwa jina lako huitaji transfer Bei ml 20 kipo mita 150 toka lami ilipo nicheki 0713672719/0787672719
Habari wana jukwaa!
TAARIFA: KIWANJA KIMESHAUZWA
Note: admin sijaelewa kwa nini tangazo la kwanza mmelifuta. Tafadhali naomba msifute au laah niambieni nakosea wapi
Nauza kiwanja changu kipo...
nina smartphone aina ya oppo r7 plus yenye sifa zifuatazo:-
64GB storage
4GB ram
6.6 inches display size aina ya omoled yenye graphic kali sana
13mp back camera yenye kuonyesha kitu katika ubora...
PATA SCREEN MAGNIFIER
++KUZA UKUBWA WA SCREEN KATIKA SIMU YAKO
+JIKINGE DHIDI YA MIONZI INAYOUMIZA MACHO YAKO WAKATI UNAPOTAZAMA MOVIE KATIKA SIMU YAKO
Ukubwa wake 19cm*12cm
Free delivery ndani...
Ukaguzi wa nyumba ni sehemu muhimu sana kwenye mchakato wa kununua kiwanja au kununua nyumba. Fomu ya ukaguzi wa kiwanja au nyumba inatakiwa kuwa na vipengele vifuatavyo;-
✓ Taarifa za nakala za...
Kiwanja kizuri sana
Kina huduma zote
Maji
Umeme
Barabara
Kipo nyuma ya shule ya msingi twende pamoja
Jirani na gereza la mahabusu kibaha (sofu)
Kina ukubwa wa mt 20 kwa 25
Barabara ipo mpaka...
LOGO DESIGN
Bei:
50,000/=
2 Logo Concepts ikiwa na raundi mbili za masahihisho kwa kila Logo.
70,000/=
3 Logo Concepts ikiwa na raundi mbili za masahihisho kwa kila Logo.
BRAND IDENTITY
Bei...
Wale wanaohitaji
mashine za kukoboa na kusaga tunawaletea ofa kubwa msimu huu wa mavuno
Ssasa miliki mashine yako kubwa kwa bei ndogo kabisa
Msimu wa mavuno ni sasa
Offa zetu hizi Tanzania...
Bati hizi ni zile laini au nzito kidogo ambazo hutumika kutengenezea loka/ masanduku ya bati (maloka) ya kutunzia vifaa vya wanafunzi wawapo bwenini. Msaada tafadhali.
Yanapatikana wapi na...