Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Dunia imebadilika sana kutokana na utekaji, mauaji, ubakaji na n.k. Tumeshuudia Tanzania watu wakitokea na bila kujua wapo wapi na mwisho wasiku hakuna msaada wowote na ukienda kuomba msaada...
0 Reactions
3 Replies
451 Views
Wakuu, Gari nimeshauza tayari.
1 Reactions
9 Replies
890 Views
Utakuwezesha kufatilia kinachoendelea kwenye biashara yako hata ukiwa mbali nayo.
0 Reactions
2 Replies
808 Views
Habari JF? Mimi nahusika na kutafutia watu viwanja na mashamba, nawaunganisha na wauzaji kwa bei nafuu kabisa. Kwa sasa nina kiwanja maeneo ya kisesa karibu na round about ya usagara, mita 200...
0 Reactions
4 Replies
979 Views
Natafuta business partner tufungue kijiwe cha kuosha magari hapa mjini Dar es Salaam. Mimi nina Pressure pump na vaccum cleaner. Tuchange fedha tupate eneo tuanze mdogo mdogo, aliye tayari au...
1 Reactions
2 Replies
861 Views
Habari wanaJamvi, Nauza mashine yangu ya kukamua mbegu zenye mafuta. Ina uwezo wa kukamua alizeti, nyonyo, karanga, nk. Inatumia umeme wa 3 phase model ggzx-80. Technical details za mashine zipo...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Ni Kinywaji ambacho hakiishii tu kuwa Kitamu Ulimini na Kooni bali pia huchoki hata Kukinunua na Kunywa mara kwa mara. Hakika Kinywaji kipya cha SUPA COMANDO kinachotengenezwa na Kampuni ya Pepsi...
3 Reactions
14 Replies
4K Views
Je, una wazo la kumiliki Kampuni yako Tanzania? Karibu Sharose Enterprise tupo kwa ajili yako. Jukumu letu ni kukupatia ushauri na kukufanikishia usaidizi wa usajili wa Kampuni yako. Watu wengi...
0 Reactions
2 Replies
847 Views
Habari wandugu Karibu tukuhudumie. Tunatoa huduma za kubadili documents toka Swahili to English or English to Swahili. Pia tunafanya Grammar check, conversion to pdf from/Excel, word. Bei zetu ni...
0 Reactions
2 Replies
398 Views
Ndugu zangu habarini,nimepata mashine ya kutengeneza popcorn nakarbisha support zenu Kwa tenda za harusi ukumbin. Pia hata MTU akiwa na connection na malls wanapocheza cheza watoto pia...
3 Reactions
2 Replies
532 Views
Ndugu zangu habarini, Nimepata mashine ya kutengeneza popcorn nakaribisha support zenu Kwa tenda za harusi ukumbin. Pia hata MTU akiwa na connection na malls wanapocheza cheza watoto pia...
1 Reactions
2 Replies
675 Views
TOSHIBA Used 2 months Dubai Clean 149 GB & 2 RAM 230k Piga au nitext hata whatsApp kwa 0627352709
1 Reactions
4 Replies
459 Views
Habari, Nahitajii mtu wa Marketing mwenye uzoefu wa kutafuta wanafunzi kwa ajili ya vyuo vikuu. Vyeti si muhimu, kama uko tayari nipigie tuongeee 0678650509. NB: Wakazi wa Dar tu.
3 Reactions
3 Replies
752 Views
Habarini mwaka ndo ushaanza hivyo, Ipo hivi unaweza ukawa unatafuta chumba au nyumba au hata kiwanja chenye specification flani unazotaka, lakini madalali watakuonyesha kitu tofauti kabisa...
12 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari wana jukwaa, Nahitaji kitanda cha foot 5 kwa foot 6 Mahali ni Dar (Ikiwezekana kesho itakua vizuri zaidi) Offer 100k Kwa mwenye nacho nipe taarifa kupitia. 0785 857564
1 Reactions
1 Replies
383 Views
Tupo kwaajili yako wewe mjasiriamali na mfanyabiashara katika kukusaidia nyanja mbalimbali ya kuipa thamani biashara yako. Je, Biashara yako yako inahitaji kutambulika kisheria? Je, Biashara yako...
1 Reactions
0 Replies
453 Views
HABARI, Husika na kichwa cha habari hapo juu, Nauza migebuka kutoka kigoma kwa gharama ndogo tu ya shilingi elfu 2 mmoja mkubwa. Nakuletea mpaka ulipo kwa wakazi wa Dar Es Salaam endapo utaanzia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Napenda kuwatangazia kuwa kiwanja kinauzwa, Taarifa za kiwanja [emoji116] [emoji117] Mahala - Kata ya Mjimwema, wilaya ya Kigamboni, Dar es salaam. [emoji117] Ukubwa ni mita 60 ×mita 50...
1 Reactions
3 Replies
589 Views
Jamanieeee... Heshima zenu wakubwa! Maisha ya kupanga yamenichosha! Natamani sana ninunue kiwanja nianze ujenzi maana nikifikiria kodi ya nyumba + frame ya biashara nahisi kuchanganyikiwa tu...
1 Reactions
6 Replies
845 Views
Boomplay, App namba moja ya kusikiliza na kupakua muziki barani Afrika, imeshirikiana na Kampuni ya Mawasiliano ya simu, Halotel kuzindua kifurushi cha ‘Boomplay na Halotel’ ikiwa ni sehemu ya...
0 Reactions
1 Replies
995 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…