Nahitaji dawa ya kusafisha na kung'arisha meno

Bilionea kid

JF-Expert Member
Oct 19, 2018
581
516
Habari! zenu wanajamvi?

Kama thread inavyo sema hapo juu

Wakuu kunajambo lanitatiza sana Mimi nipo arusha kama ujuavyo watu wa arusha meno yao jinsi yalivyo haya vutii yanarangi

Nimetafuta dawa ya kung'arisha meno nimekosa mwenye kujua nitumie nini ili meno yangu yawe meupe?

Nipo serious

Mungu awabariki

πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Nakushauri onana na daktari wa meno, la sivyo utajikuta hata hayo yenye rangi unayakosa.
 
Huduma ya kusafisha meno inapatikana kwa baadhi ya hospital gharama yake inaanzia 15000 Kwa jino moja.kama upo dar njoo hapa tabata Muslim Kuna hospital pale tatizo litakwisha
 
Back
Top Bottom