Nyumba na eneo vinauzwa

The tolerance 1

JF-Expert Member
Sep 10, 2022
404
512
Nyumba yenye eneo kubwa inauzwa,ipo Kibaha kwa Mfipa,nyumba Ina vyumba vitatu,zikiwemo master mbili sebule kubwa na jiko.
Ukubwa wa eneo ni sqm 700 kwa 210,
Hati ipo.
Vyote hivyo vinauzwa kwa bei nafuu kabisa ya shilingi milioni sitini na saba(67000000), ni pazuri na panavutia sanaa.
Kwa maelezo zaidi piga/ Whatsapp 0678028472.View attachment 2592555View attachment 2592557View attachment 2592556View attachment 2592558View attachment 2592559View attachment 2592560
IMG-20230404-WA0006.jpg
View attachment 2592561View attachment 2592562
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom