Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nilimtumia jamaa'ngu laptop kwa njia ya express lakini haikufika bongo kwa wakati unaotakiwa na nikatuma nyingine. Kwa bahati zote zimefika na jamaa ana laptop mbili. Mimi sio mfanya biashara na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kartika Sari Dewi Shukarno Monday, August 24, 2009 5:29 PM Adhabu ya kuchapwa bakora sita iliyokuwa ikimkabili mrembo wa vivazi wa Malaysia ambaye alikamatwa akinywa pombe hadharani imeahirishwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna mshikaji anauza mac ibook g3 used.kwa yeyote anayehitaji please call 0754549631
0 Reactions
2 Replies
2K Views
nimeamia singapore ntakuwepo hapa kwa muda, nlitaka kujua kama kuna wanajf wowote maeneo haya, thanks
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nanunua used computers za specifications zote, except p2 na bellow oc! nipe aina ulizonazo, kisha shindana bei na wauzaji wengine..nikiridhika na bei zako tunafanya biashara. tamilaggk@gmail.com
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa wale wanaohitaji viwanja, kuna kiwanja/shamba la ukubwa wa hekari tatu kasoro linauzwa. Eneo hilo liko Kifuru (ukivuka segerea) ni eneo zuri kwa ajili ya shamba au makazi maana mji unapanuka...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Toyota raum 2000 model- white colour automatic, 1490cc 84,000km only options 1. Radio n tape 2. Air condition 3. Power windows 4. Power steering 5. Abs 6. Very clean inside ameingia leo kutoka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
MITSUBISHI CANTER LONG year - 2000 engine capacity - 4210CC capacity - 2 ton odo - 109,000km options 1. radio n tape 2. air condition 3 power steering 4. long chasis bei = 16,000,000/=...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hello Wakuu!! I hope mnaendelea vzr. Naomba anayejua ABA numbe ya CRDB K'nyama Branch anisaidie hapa, nina shida nayo Thanks
0 Reactions
0 Replies
1K Views
IMESHAUZWA!!!! toyota raum 2000yr model automatic, 1490CC, 84,000km only power steering, power window, radio and tape,nk imeingia kutoka japan wiki hii. ishalipiwa ushuru na kodi zote bei ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
The fifth International African Diaspora Heritage Trail conference will take place in Tanzania from October 25 - 30,2009, with venues in both Arusha, the safari capital on the mainland and on the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Located at the city centre here in Dar es Salaam, is suitable for offices, cafeteria, and any other business. Anyone interesting awasiliane nami direct kwa email: edmeenda@yahoo.com. Dalali hatakiwi.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Kiwanja kinauzwa. Kipo Jangwani Beach (ndani ya Mbezi Beach). Kwa anayetaka kukiona, awasiliane nami directly, ama kwa simu ama kwa email. Simu: +255-786-019019 au +255-715-019119...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WanaJF wenzangu heshima kwenu, Kutokana na tatizo nililo nalo kwa sasa nalazimika kutangaza kuuza plot yangu iliyoko Kibaha kwa Mathiasi yenye eneo la takribani ekari moja iliyopandwa miti ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Karibuni kwenye workshop hii itakayoendeshwa na mtaalam Professor Joseph Mbele, Mahali: Mlimani City, Dar es Salaam. Tarehe: 05-September-2009 Muda: Saa nne asubuhi mpaka kumi jioni Kiingilio...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Muasisi wa CCM mkoa wa Tabora na aliyekuwa mume wa Mbunge wa viti maalumu/kuteuliwa wa muda mrefu Bi Mosi Tambwe amefariki Dunia leo saa sita mchana mjini Tabora. Mzee Tambwe mbali na kuwauasisi...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Tanzanians in Birmingham Alabama (JUTABI), together with the families of Mang’enya and Lubala would like to announce a sudden death of their beloved ANDREW KITENGE MANG’ENYA. Andrew passed...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba kujua office za hawa watu kwa hapa tanzania ziko wapi. Nimejaribu kutembelea kwenye website yao inaonyesha kuna office zao tanzania,mwenye kujua ziko sehemu gani anijulishe tafadhali.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Jamani wana bodi huu ni mwezi wa pili nimekuwa nikijaribu kuwasiliana na wizara husika lakini bila mafanikio. Labda nina namba za simu , fax na email address za zamani, lakini katika website yao...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mojawapo ya madawa ya kuongeza makalio na hips Saturday, August 15, 2009 3:10 PM WANAWAKE wawili wanashikiliwa na...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…