Plot inauzwa Kibaha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Plot inauzwa Kibaha

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Ndamwe, Aug 21, 2009.

 1. Ndamwe

  Ndamwe Senior Member

  #1
  Aug 21, 2009
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 107
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  WanaJF wenzangu heshima kwenu,

  Kutokana na tatizo nililo nalo kwa sasa nalazimika kutangaza kuuza plot yangu iliyoko Kibaha kwa Mathiasi yenye eneo la takribani ekari moja iliyopandwa miti ya aina ya TEAK (mitiki). Bei ni 6 millioni. Kwa mwenye interest anaweza kuniandikia email ndamwe@gmail.com, au simu 0713-354090 kwa mawasiliano zaidi. Asanteni.
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Shukrani mkuu lakini ungepima kama ni metre ngapi tujue makisio sio mazuri mkuu.
   
 3. M

  Malila JF-Expert Member

  #3
  Aug 21, 2009
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Pima,kisha utuambie vipimo vya miti yako ni mita ngapi kwa ngapi,la mwisho miti hiyo ina umri gani mpaka sasa. tupe na umbali toka barabarani mpaka ktk plot yako.
   
Loading...