kuna wana jf wowote maeneo ya singapore

Bob Nash

Member
Aug 21, 2009
64
0
nimeamia singapore ntakuwepo hapa kwa muda, nlitaka kujua kama kuna wanajf wowote maeneo haya, thanks
 
niko maeneo hayohayo mkuu, maeneo yapi exactly unapatikana mkuu, manake jiji la wamalay kubwa hili
 
nimeamia singapore ntakuwepo hapa kwa muda, nlitaka kujua kama kuna wanajf wowote maeneo haya, thanks

Bob Nash,
Why are you specifically looking for JF members in Singapore? Why not - just Tanzanians?
Watanzania wapo wengi tu huko Singapore au Malaysia. Nadhani waweza kupata response kubwa zaidi endapo utatuelezea sababu za kutafuta wana JF huko uliko.
 
Swali zuri sana, ni vizuri likitendewa haki!
 
okey nimewapata wadau, ni kubadilishana mawazo tu, wawe watanzania au wanajf, i think jf haiko kutoa mawazo na kuchangia hoja lakini pia hata kusoshalaizi na watu, kwa sababu ni mgeni humu sijui kanuni na sheria za humu lakini kama sivo ndivyo, no harm done
 
nimeamia singapore ntakuwepo hapa kwa muda, nlitaka kujua kama kuna wanajf wowote maeneo haya, thanks

Mzee nipo viunga vya Kuala Lumpa wewe uko maeneo yapi?

niko maeneo hayohayo mkuu, maeneo yapi exactly unapatikana mkuu, manake jiji la wamalay kubwa hili

Huu nao ni uongo wa wazi. Wewe bob nash umesema umehamia Singapore, Kiroroma akasema yeye yuko Kuala Lumpur (Malaysia) halafu wewe unasema uko maeneo hayohayo. Lol! Sasa tangu lini Singapore imekuwa Malaysia? Acha uongo wako. Maana kuna umbali usiopungua kilomita 307 na huchukua kati ya masaa 5-6 kwa Bus na 8-9 kwa treni.
 
mi huku ndo nimeoa na jana nimetoka huka huko kwa wakwe zangu.ila mwanagu blanca nimemwacha hukio kwa babu yake nitamfata mwezi ujao.
nikirud ntakuchek kaka kama utakuwepo, kama vip ukirudi pitia oslo norway hapa utanikuta kaka.

kabal hujaja ni pm kwanza
 
Teh Teh Teh!!!,Yo Yo na wewe una mambo!,una maana ukiwa na njinsia ya kiume hupati mwenyeji?,Lol

Inaonekana Yo Yo ana matatizo makubwa na jinsia ya kike, nafikiri anahitaji maombi. Kuna thread moja niliona amekupa hi, nafikiri ni baada ya kuona avanta yako, isitoshe huenda akawa ameku-PM. Yo Yo njoo kwa YESU rafiki utapata msaada wa kushinda tamaa inayokusumbua dhidi ya akina dada.
 
Duh, nilidhani Yo Yo alikwisha okoka! Kazi ipo.
 
Back
Top Bottom