Hewlett Packard Presario - Inauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hewlett Packard Presario - Inauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Zakumi, Aug 26, 2009.

 1. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Nilimtumia jamaa'ngu laptop kwa njia ya express lakini haikufika bongo kwa wakati unaotakiwa na nikatuma nyingine. Kwa bahati zote zimefika na jamaa ana laptop mbili.

  Mimi sio mfanya biashara na kwa mapenzi yangu kwa watanzania, nitaiuza kwa bei niliyonunulia + usafiri + tax + insurance. Bei na tax ni 559.99Usd + 84Usd Usafiri.

  Specifications:

  Intel® Pentium® Dual-Core Processor T4200
  3GB DDR2 RAM
  250GB 5,400RPM Hard Drive
  Intel® Graphics Media Accelerator 4500M
  10/100 Network
  802.11b/g Wireless Network
  15.6" High Definition HP BrightView Display
  Microsoft Windows Vista Home Premium

  Wenu katika gurudumu la maendeleo ya ujenzi wa taifa.

  Zakumi MwanaMavungi.
   
Loading...