Kiwanja kinauzwa Kifuru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja kinauzwa Kifuru

Discussion in 'Matangazo madogo' started by carmel, Aug 24, 2009.

 1. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kwa wale wanaohitaji viwanja, kuna kiwanja/shamba la ukubwa wa hekari tatu kasoro linauzwa. Eneo hilo liko Kifuru (ukivuka segerea) ni eneo zuri kwa ajili ya shamba au makazi maana mji unapanuka sana. Bei ni MILIONI KUMI (10M asking price) kwa mawasiliano zaidi pls PM me au piga namba 0755149715
   
 2. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,345
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  vp ntapata ekari moja mkuu?
   
 3. P

  Patrick Nyemela JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2009
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 330
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Je shamba hilo lina hati (Right of occupancy)?
   
Loading...