Mzee Seleman Tambwe afariki Dunia Tabora

M-bongo

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
338
71
Muasisi wa CCM mkoa wa Tabora na aliyekuwa mume wa Mbunge wa viti maalumu/kuteuliwa wa muda mrefu Bi Mosi Tambwe amefariki Dunia leo saa sita mchana mjini Tabora. Mzee Tambwe mbali na kuwauasisi wa CCM mkoa wa Tabora pia alikuwa mjumbe wa baraza la wazee wa Mkoa wa tabora kwa miaka mingi. mungu aiweke roho ya marehemum kwa kadri ya mapenzi yake. Amen
 
Inna lillah wa inna 'ilayhi rRaji'un
Hakika sisi ni wa M'Mungu Na Kwake Ndio Marejeo.

Poleni wafiwa, na Insha'Allah M'Mungu atawapa subra kwa msiba mkubwa ulio wakuta.
 
r.i.p mzee wetu!mwambie j.k.n vijana wake wamekiharibu chama.
 
Back
Top Bottom