Pest Consult ni Kampuni iliyosajiriwa nchini Tanzania na kuruhusiwa kutoa huduma ya Fumigation/Kudhibiti Visumbufu (Pests). Kampuni yetu inauzoefu wa kutosha na huduma zetu zinatolewa Kwa misingi...
Price yangu ni affordable na ya makubaliano.
Nina Business Centric Approach, yenye lengo ya kuipush idea yako ifanikiwe kwenye market ikiwemo na ushauri wa bure jinsi gani inaweza fanikiwa...
Pest Consult ni Kampuni iliyosajiriwa nchini Tanzania na kuruhusiwa kutoa huduma ya Fumigation/Kudhibiti Visumbufu (Pests) na Magugu. Huduma zetu ni bora na zinatolewa kwa misingi ya kisayansi na...
Habari wakuu, kama kichwa cha habari hapo kinavyojieleza, inahitajika nyumba kubwa ya kupanga ya familia yenye parking kuwe na usalama, kodi isizidi 300K kwa mwezi.
*Mapinga- Viwanja vya makazi!
Ukubwa wa sqm 500, viko km1.5 kutoka barabara ya lami. Vimepimwa tayari kwa ufuatiliaji wa umiliki kisheria.
Huduma zote za kijamii zinapatikana, maji & umeme upo...
Habari wanachama wa jf, nauza simu yangu infinix hot 11 ya gb 128
Naiuza Nina shida na hela
Simu aina tatizo lolote ipo safi kabisa
Gb 128
RAM 4 unaongeza hadi ram 7
ANDROID 11
CAMERA 50 MPX...
Maisha yanakwenda kasi sana aisee! Unakumbuka kipindi cha nyuma tumewasha moto kwa kutumia karatasi, majani, vijiti vya miti, karatasi za nylon na hata mipira kama kandambili na hapo Mkaa ulitii...
Habari wanajamvi....?
Hii ni habari njema kwa wafanya biashara wenye maduka makubwa,kati na madogo yenye uhitaji,,,,
Kampuni yetu pendwa ya NEXIS tunapenda kuwataarifu kuwa tunawakaribisha ili...
Car parking shade inakupatia ulinzi mzuli wa gali yako na inakupa mwonekano mzuli wa nyumba yako kalibuni sana wateja popote ulipo tunafika piga/whatssap.0653653480 bei zetu ni gali moja.1.5m gali...
Nimepata dharura kwahiyo nimeamua kuuza ofisi yangu ya PlayStation (Gamecentre).
Ina vitu vifuatavyo: (kila kitu kimetumika kwa mwezi mmoja)
Bei hazina maongezi (prices are fixed)
1-Sony...
Wadau natafuta chumba cha kupanga kwa wiki mbili maeneo ya kinondoni.
Mi ntakua dar kikazi Tar 27 March - 08 April, hivyo chumba kiwe furnished.
Maeneo ya kinondoni, au karibu na town.
Whatsapp...
Habari wana mzengo!
Nafanya biashara za kuagiza laptops, ipad, camera mitambo tools machines magari ,spare za magari ya kukata, Generators na nk , kama unataka kimoja wapo kati ya vitu nimetaja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.