Website inauzwa

Comrade21

JF-Expert Member
Apr 27, 2023
386
557
Habari ndugu jamaa na marafiki

Kwa wale wanaopenda sana mambo ya blog au website basi leo nawaletea website yangu ambayo ninaiuza kutokana kwa sasa ninakosa muda wa kuitumia.

Hii website kwa sasa ina mwaka mmoja tangu nianze kuitumia kwa mwaka huu teyar nimeshaifanyia malipo kwa hyo apa kulipa tena ni mpaka mwakani mwezi wa tatu.

Kwenye hii website yangu kuna matangazo ambayo teyari yako, yanayowekwa na google ni kimaanisha google adsense kwa sasa kwenye akaunti ya google adsense nin dollar zaidi ya 20.

Faida ya kununu hii website
1) utapata plugin ambazo ni premium za kulipia.
2) google adsense iko teyar na imeshakuwa verified.
3) pia kwa sasa ipo kwenye peak yaani ranked.
3) inaviewers wengi yaani visitors so kuna benefits nyingi.
4) kwa ambaye atanunua bado atazidi kupata na kutumia hizo premium plugin nitakuwa na mtumia kwa njia ya WhatsApp kwa gharama zangu

Gharama yake ni 400,000 mpaka 350,000 si shuki zaidi ya hapo maana nimeigharimu sana.

Kwa mengi zaid njo PM au namba hii WhatsApp only 0679149673

Unaweza kuingia kutumia link chini apa kujionea mwenyewe
 
Back
Top Bottom