Habari marafiki na wana Jf kwa ujumla,
Kuna rafiki mtajwa hapo juu namtafuta sijui amebadili username au yuko nje ya mawasiliano au
anatatizo ila nina shida ya muhimu inayomhitaji! Nimejaribu...
Friji inauzwa ipo Mbagala Rangitatu. Double door, double compresor. Ipo ktk hali nzuri na inatumika. Bei ni Tsh. 300,000.(laki tatu) Kwa mawasiliano 0752 376878.
Hebu download then sikiliza hilo Tangazo halafu uchanganye miguu kwenda huko hiyo siku!
Just freeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Nawasilisha!
Habari yako msomaji,
Kuna barua zimetolewa na TCRA makao makuu kwa radio nyingi sana hapa nchini ambazo zilikuwa haziwasilishi Program schedule, program themes na goals ya programs kwa utaratibu...
kipo Mbezi Juu. kilomita 2 kutoka Massana Hospital. Kina ukubwa wa sqm 1680. Kina Hati Miliki. Ukiwa katika hicho kiwanja unaitazama bahari kama inavyoonekana katika picha. Bei shs 60mil. Kwa...
Habari zenu wana jf, ninatafuta bmw convertible ya kukodi kwa ajili ya arusi mwezi wa saba mwaka huu Dar es Salaam, nina prefer zaidi rangi nyeusi, lakini rangi yoyote ni sawa kama nyeusi...
Habari ndugu
Kama una taarifa kuhusu zinapopatikana banner printers naomba unitaarifu juu ya Specifications on
1.Brand
2.Capacity na
3.Bei
Pamoja na hayo mahali zinapopatikana itakuwa jambo...
Nauza brand New DELL laptop. Laptop hii haijatumika kabisa na ina warrant. Maelezo ya kiitaalamu ya hii laptop ni kama ifuatavyo;
Brand: DELL INSPIRON
Model: N4010
Display Size: 14 inches...
Wana JF
Nina Puppies, GERMAN SHEPHERD wanauzwa kwa bei nafuu. Kwa sasa wamebaki wachache, kwa anayehitaji tafadhali nitafute kwa namba hizi:-
+255 755 338 994
+255 715 329 994
Uliza...
Wadau nina camera aina ya SAMSUNG, inanisumbua, nipo mikocheni B, kwa warioba naomba ushauri wa wapi karibu naweza kupata fundi mzuri wa kutengeneza. Kiufupi ni kwamba ile cylinder ya flash...
Wasalaam wadau wote,
Nahitaji kununua electronics flaniflani kutoka ebay.com, lakini kila venda nayemcheki anasema hafanyi international shipment !! lakini kwa vitu kama DVDs, ama vitabu ni...
Habarini wanajamvi!
Natafuta fire extinguishers CO2 kama tano hivi hapa DSM zenye ujazo wa 50 kgs ambazo zinakuwa fixed kwenye troley yenye matairi matatu inayoweza kusukumwa na mtu mmoja. Hizi...
Kuna Jamaa ananahitaji Laptop Aina yoyote kati ya:-
Dell
Toshiba
HP
Specifications:-
Iwe na:-
Processor: Pentium n-series (Intel inside), GHz 2.00 na kuendelea
Hard disk: 80 GB na kuendelea...