Range rover hse ya mwaka 1999 for sale! Bei poa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Range rover hse ya mwaka 1999 for sale! Bei poa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by TECHNOBIZ INTL, Sep 30, 2010.

 1. T

  TECHNOBIZ INTL Member

  #1
  Sep 30, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu Wana JF,

  Napenda kuwafahamisha kuwa mimi ni mjasiliamali nipo huku Hong Kong na Japan, na nina deal na magari pamoja na electronics, kuna gari aina ya RANGE ROVER HSE inauzwa bei poa kabisa hapa HONG KONG, hivyo kama mtu ana interest tuwasiliane on technobiz.hk@gmail.com

  OPEN AND CHECK ATTACHMENT BELOW View attachment RANGE ROVER HSE.docx
  Mobile namba yangu +85292681365 au Executive Assistant wangu MISS LOLITA PLAZA(ENGLISH ONLY) +85294676005
   
 2. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Mkuu, karibu sana JF. Naomba nikupe siri kidogo za kufanya biashara na watu wa JF ambao ni very intellectual,

  1. Wanataka wajue tofauti ya kununua kule wanakonunua siku zote na kununua kwako.
  2. Wanataka wawe na uhakika wa pesa yao, hasa kwa biashara za online.
  3. Wanataka full details ya bidhaa kabla ya kukupigia simu.
  4. WANATAKA UWAZI WA BEI kabla hawajapoteza senti zao kwenye simu.
  5. Ni wakarimu, wawazi, na wakwelli
   
 3. M

  Midas Touch Member

  #3
  Sep 30, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 74
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Nijuavyo mm, muuzaji wa bidha ya aina hiyo huwa muwazi zaid! Asifikiri hizi ni zile enzi za Mwl. kila kitu kuuzwa kwa mlango wa uwani. Tena basi, mtu mwenye kuhitaji/demand gari kama hilo hatasubiri vi-mission town vya huyo dealer wa ajabi!
   
 4. T

  TECHNOBIZ INTL Member

  #4
  Sep 30, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Well, bei ni very reasonable ukilinganisha na kununua the same RANGE ROVER hapo Tanzania,
  Pia we have a registered company and Bank account in Tanzania so you do not need to transfer your cash overseas, all transactions are coordinated in Tanzania,
  The details of the product is attached on the particular post, including the price and technical details,
  Hope to be in touch with you guys, cheers
   
 5. T

  TECHNOBIZ INTL Member

  #5
  Sep 30, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mzee you can open the attachment and if your interested, then drop us an email and then tutakuwa kwa ajili yako kujibu inquiry zako mapema iwezekanavyo. If you have any questions do not hesitate to email us any time. Thanks and have a good day!
   
 6. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Asante mzee,
  Hizo attachment zako ungeweka za format ambayo ni common zaidi, .docx inasumbua wengi hatutumii word 2007, tuko kwenye 2003!
  Thanx
   
 7. T

  TECHNOBIZ INTL Member

  #7
  Sep 30, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Okay, nimekuelewa mzee, but you can download microsoft word 2010 online its free for trial version, kuwa up to date mzee
   
 8. T

  TECHNOBIZ INTL Member

  #8
  Sep 30, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  YOU CAN DOWNLOAD A FREE TRIAL VERSION OF MICROSOFT WORD 2010 FOLLOW THIS LINK http://office.microsoft.com/en-us/products/ Unahitaji ku register account yako then you will be able to get a free version mzee
   
 9. Hebrew

  Hebrew JF-Expert Member

  #9
  Sep 30, 2010
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 509
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  kwa bei hio bila kodi ni ghali mkuu na ukizingatia hiyo ni LHD na ni ya 1999 ambayo utabidi ulipie pia kodi ya uchakavu.
  Unaweza kupata RHD toka UK ya mwaka 2000 - 2001 kwa bei hio au chini ya hapo. Fanya utafiti
   
 10. T

  TECHNOBIZ INTL Member

  #10
  Sep 30, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekuelewa kaka, but bei tunaweza ongea mkubwa, nitakuchekia hiyo RHD 2000 -2001, nitumie email kwenye technobiz.hk@gmail.com with this message then nitakutumia details kwenye email yako, Naomba uiandike kwa Kingereza ili mtu yeyote pale ofisini aweze kuelewa, Shukrani
   
 11. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #11
  Sep 30, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mkuu fanya biashara huku ukiwa serious & committed! we unaona kazi gani kui-convert hiyo document kwenda kwenye MS office 2003........badala take unamtumia mtu link eti a-download then afanya installation baada ya hapo aitafute document yako aangalie Range Rover

  Mfanya biashara makini ni yule anaejali muda wa mteja wake kwa kumuwekea shortcut ya jinsi gani ataweza kureview product/Service yake......then akiwa satisfied biashara ifanyike!!!
   
 12. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #12
  Oct 1, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Bora uongee ww mkuu!
  Yeye anaona kazi kusave tu kwa format ambayo ni rahisi kufunguka kwa watu wengi, badala yake anatuelekeza kudownload file lenye ukubwa wa zaidi ya Mb200!! ili tuweze kufungua files zake!! Duh! kazi ipo.
   
 13. T

  TECHNOBIZ INTL Member

  #13
  Oct 1, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Mzee usilalamike sana mimi nimetuma hiyo link kwa manufaa yenu kama mnataka ku update microsoft office from 2003 to 2010 kwani hiyo ya 2010 ni more efficient na ina function nyingi zaidi, i wanted you guys to enjoy technology and not otherwise, na nirahisi tu ku download but kama hiyo ni tatizo nita convert the attachment to older version but for mean time kuna email yetu hapo juu nitumia email yako then nitakutumia full details instantly without waver
  (technobiz.hk@gmail.com )
   
 14. T

  TECHNOBIZ INTL Member

  #14
  Oct 1, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mzee usilalamike sana mimi nimetuma hiyo link kwa manufaa yenu kama mnataka ku update microsoft office from 2003 to 2010 kwani hiyo ya 2010 ni more efficient na ina function nyingi zaidi, i wanted you guys to enjoy technology and not otherwise, na nirahisi tu ku download but kama hiyo ni tatizo nita convert the attachment to older version but for mean time kuna email yetu hapo juu nitumia email yako then nitakutumia full details instantly without waver (technobiz.hk@gmail.com )
   
Loading...