Used PC - Donate to schools | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Used PC - Donate to schools

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Baba_Enock, Sep 29, 2010.

 1. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  Wakuu,

  Ninanzo PIII computers ambazo nimekuwa nikizitumia hapa kwenye shuguli zangu kwa muda sasa. Kutokana na mimi kubadilisha mifumo ya computer, ningependa hizi PIII kuzigawia watoto wa shule kwa ajili ya kujifunzia kwa vitendo.

  Je, ni wapi hapa Dar es Salaam naweza kupata "Boxes" kwa ajili ya kufanya "re-Packaging" tayari kwenda kuzi-donate kwenye shule mbalimbali? Ninaongelea zaidi ya PC 50.

  Note: Hizi PC zitatolewa bure, na kwahiyo any cost element will be "absorbed" by the donor.

  Kwa mawasiliano zaidi tuma email : baba_enock@yahoo.com
   
 2. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Mkuu nakupongeza sana kwa uamuzi huo, lakini nina ushauri kidogo.

  1. Hizo pc umezifanyia matengenezo?
  2. Huko unakopeleka umeshafanya mazungumzo na wahusika wameandaa chumba na vifaa?
  3. Angaliza zisijeingizwa kwenye hesabu ya matumizi!
  4. INAWEZEKANA jamani, Millioni moja na nusu unapata P4 refurbished nzuri tu, kutoa ni moyo, tuziwezesheni shule za uswahilini tulizosoma.
   
 3. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  Mkuu:

  Shule nimepata kumi toka Wizara ya Elimu, Maandalizi (rooms, e.t.c) yako in order, as I mentioned ni bure 100%, zipo katika hali nzuri
   
 4. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hongera sana mkuu, nimefurahishwa sana na uamuzi wako. Tunaweza kabisa kusaidia taifa letu lisonge mbele kielimu kulingana na nafasi na uwezo tulizonazo!
   
Loading...