Corolla AE 100 for Sale | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Corolla AE 100 for Sale

Discussion in 'Matangazo madogo' started by MaTT, Oct 6, 2010.

 1. M

  MaTT Member

  #1
  Oct 6, 2010
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  A Totota Corolla AE 100 (fully registered as a Taxi but can be reversed for personal use) is available for sale.

  It is a 1993 production and has gone about 190,000 km so far.

  Photos of the car are attached to this message.

  Contact: 0715 203386
   

  Attached Files:

 2. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  850,000/= unakula?!
   
 3. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2010
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,951
  Trophy Points: 280
  kabla sijapiga nijulishe haya yafuatayo...i knw a serious buyer anataka gari kama yako kwa biashara ya tax
  -kwanini unauza?
  -unauza tsh ngapi?
  -inaonekana kuwa ni tax ya kinondoni...imelipiwa kila kitu?
  -records zake kwa upande wa ajali ipo vipi?
  -registration namba ipi?
  -a/c na seats ndani vipo vipi?
   
 4. M

  MaTT Member

  #4
  Oct 6, 2010
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nimeshindwa kuimanage kama Taxi sina muda wa kutosha kumfuatilia dereva, fixed price 4.5 mil TShs, imelipiwa kila kitu ila road licence iliisha tarehe 1 Oct 2010 nitalipia soon, lipata ajali ikaharibika show ya mbele nimeweka mpya kabisa lakini halina rekodi yoyote polisi, regsitration umber yake ya taxi ni 529, na ya pale ni T678AEN, ina AC na seat nzuri labda marekebisho kidogo kwenye dashboard. Imekwend Km 190,000 na niya model ya mwaka 1993.

  Thanks
   
Loading...