NINAUZA TOYOTA MARK II GX 100 ya mwaka 2000 bei 8.8 IMEINGIA TANZANIA MWAKA JANA MWEZI WA SITA mawasiliano 0713 99 45 42 (picha zipo nimeshindwa kuattach hapa)
Nyumba inapangishwa mbagala maji maji matitu vyumba vya kulala vinne, kimoja self container, sebule moja, dining room, jiko, choo na bafu ndani, na stoo- bei laki mbili- mawasiliano- 0717 08 14 15
Nipo Arusha mjini. Nina utaalamu wa ku-design all kind of grafix (logos, flyers, brochures, magazine, annual reports, invitation cards etc) kwa kutumia Adobe CS5, nina design pia TV adverts kwa...
Ndugu wanachama wa jf.
Napenda kuwajulisha kuhusu huduma ya usafiri kwenda Loliondo kwa Babu. gharama zetu ni nafuu sana. Gari lenye uwezo wa kubeba abiria 8 pamoja na Dereva. Gari zina air...
Familia ya kisanga
inapenda kuwajulisha mciba wa mtoto wao gabriel kisanga uliotokea jumamosi kwa ajali ya gari akitokea moshi..gabriel amekuwa kiongozi wa akudo banda,amefanya kazi riki hottel...
Wana Jamii!
Ninauza Amazon Kindle (book reader) pamoja na Leather Cover yake ambayo ina taa kwa ajili ya kusomea katika giza.
Black Leather Cover with Light
Bei = USD 320
Kwa...
Wakuu natafuta netbook mpya or used which is in a good condition: Mtu mwenye any of this models and yupo tayari kufanya biashara tuwasiliane.
1. Samsung NF310
2. Acer Aspire One D260
Bei...
tsup?
Natafuta laptop used yenye spec hizi
2ghz n abve
2gb ram n abve
250gb n abv
14 inch n abve
Tshb,hp or del
Iwe below 570,000tsh!
Yeyote ambaye anauza,plse cntact me 0715955896 or...
I need to open my new modern Barbershop in southern region of Tanzania. Please anyone who know where I can purchase all items including hydraulic master barber chairs, kiddie styling chairs...
Kwa cafe or home use etc..chaguo lako..CPU Dell, Pentium 4,RAM 512, HDD 40GB...Ina windows XP ila kama unataka Ubuntu Linux then itawekwa..so una choice ya OS!Monitor ni HP[Flat screen-usoni but...
Location Mikocheni kwa Warioba,2 minutes from the main road.
1masterbedroom-European toilet,hotwater,AC,Wardrobes
2Normal rooms
1 talking room, fully AC.
1 Kitchen furnished with electric cooker...