Nauza gari ndogo

Mpevu

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
1,805
173
Wadau,
Ninauza gari yangu ndogo aina 'TOYOTA RAUM', ipo ktk hali nzuri na imetembea hapa miezi 10 sasa. Usajili wake ni BLM, engine yake ni CC 1490, nituliapo nitabandika picha yake. Nipo dar, bei ni 6.5M. Haijawahi kugongwa wala kuwa na major maintenance,ipo ktk hali nzuri kabisa. For serious buyers tuwasiliane thru 0715988888.
 
Aiseee

Best wishes for bidders
 
imetembea km ngapi? Ya mwaka gani?
 
Wapendwa wadau,
Napenda kuwajulisha wote kuwa TAYARI NIMEIUZA GARI HII. Nawashkuru kwani ni masaa tu wateja wameihitaji na MTEJA kuinunua, MNIWIE RADHI WOTE MLIONIPIGIA SIMU NA KUONYESHA SHAUKU JUU YA UNUNUZI,, SHUKRANI ZA PEKEE KWA JF KWANI WADAU HAPA JAMVINI NI ZAIDI YA PROACTIVENESS.
Daima pamoja.

Mpevu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom