Kiwanja zaidi ya ekari 25 chanika, mvuti kinauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja zaidi ya ekari 25 chanika, mvuti kinauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Sarah Parker, Jul 16, 2011.

 1. S

  Sarah Parker Member

  #1
  Jul 16, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiwanja hiki kina bonde kubwa pamoja na ardhi tambarare ya kutosha؛eneo hili lafaa kwa kilimo au kiwanda hata makazi pia؛
  kwa yeyote atakaye hitaji anaweza kuni pm tukaelewana zaidi؛
   
 2. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Toa bei dada tuongee biashara..ama nipm No nikupigie
   
 3. Bosi Michembe

  Bosi Michembe JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Toa rough price ndugu tujue kama tutaweza..
   
 4. S

  Sarah Parker Member

  #4
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  milioni 50 tu kaka...hapo vipi
   
 5. Observer2010

  Observer2010 Senior Member

  #5
  Jul 18, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 198
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nadhani hili ni shamba, sidhani kama ni kiwanja.
   
 6. S

  Sarah Parker Member

  #6
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  whatever its but ni ardhi ya ukubwa huo na inauzwa
   
 7. u

  ureni JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Tatizo ya haya mashamba unanunua nillioni 50 kesho yake serikali wanalichukua lote wanakulipa laki 8,wanakuambia eneo la mradi.
   
Loading...