CHUMBA CHA KUPANGISHA SELF MWENGE MWANANYAMALA KIJITONYAMA au mbezi beach | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHUMBA CHA KUPANGISHA SELF MWENGE MWANANYAMALA KIJITONYAMA au mbezi beach

Discussion in 'Matangazo madogo' started by ma jery, Jul 18, 2011.

 1. m

  ma jery Senior Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wana jamii natafuta chumba au rum mbili self maeneo hayo nina sh laki 1 kwa mwezi mimi ni mdada niko peke yangu
  pawe karibu na barabara pls
  nyumba iwe nzuri.nashukuruni wana jf nawaaminia
   
 2. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  nimekuambia huwezi kupata njoo tuishi wote!
   
 3. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Dr acha watu walio serious wamsaidie dada sio mnaleta masihara kwenye mambo ya msingi
   
 4. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Nakushauri dada jaribu tafuta madalali waaminifu wa eneo hilo najua watakusaidia
   
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Kuna mtu kanipeleka kwenye vyumba juzi viko pale Mabibo mwisho karibu na Loyola High school, ni mita tano hivi toka barabarani, vyumba viwili; sitting na bedroom self kwa 170,000. Maji yapo tank juu na umeme, vyumba vya futi 13*12 hapo njiani ndio kuna kituo cha daladala, well ni pazuri. kama utapenda nikupatie namba ya Mhusika uongee nae. Mimi nilishapata sehemu nyingine ila hapa binafsi nilipapenda sana, hapana population na kila mtu anajitegemea choo chake. siwezi kutoa namba ya mtu publicly labda kama uta-mind ni PM
   
 6. Abraham

  Abraham Senior Member

  #6
  Jul 20, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 115
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ma Jery mpigie dalali mmoja wa maeneo hayo anaitwa Mama Nasoro ( 0784697242) anaweza kukusaidia kwa haraka. Ni dalali mzoefu na hana makuu. yeye malipo yake ni kodi ya mwezi 1 ila utamlipa akishakupatia nyumba/chumba. Hana longo longo za kudai kitembea kwa mguu/ hela ya vocha n.k.

  Kila laheri
   
 7. u

  ureni JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Usipende sana kuishi peke yako kwani huna hata ndugu wa kuishi nae?sio vizuri unaeza kupata dharura ukakosa msaada.
   
 8. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Kwa Laki... haupati vyumba viwili K'nyama wala Mwenge... Labda M'nyamala,Tandale,Manzese au Mburahati...
   
Loading...