Are you looking for a building contractor for your building project?if Yes we are here to help you live in your dream house write to us;juincontractors@yahoo.com
Nauza nokia X2. Kwa yeyote anayehitaji ani pm. Simu imetumika mwez mmoja tu. Bado ina guarantee ya mwaka vile vile, iko na protection cover mbili black na blue, unapata charger na earphones, vyote...
WAKUU,
Nimefunga mgahawa wangu na ninauza vifaa kama vifuatavyo na vimetumika miezi 6. List ni kama ifuatavyo:
1. GAS GRIDDLE 3 BURNER
2. GAS GRIDDLE 2 BURNER
3. FRYER
4. ORYX GAS TOP COOKER
5...
wakuu habari zenu, nataka kujua ntapata wapi laptop skins za club za Uingereza Liverpool, Arsenal, Chelsea na Manchester United kama hizo katika picha hapo kwa hapa Dar na Arusha??,,,nashkuru sana..
Kipo maeneo ya Tatedo umbali wa kilomita 3 1/2 kutoka New Bagamoyo Road.kimepimwa na kina hati miliki. Bei 50mil. Kwa mawasiliano piga simu 0784225000 au tumia hii barua pepe...
WanaJF
Ninaomba msaada: Ninahitaji jengo la ofisi kama vyumba 2 au 3. Maeneo ninayopendelea yawe: Along Ali Hassan Mwinyi Rd, Msasani kwa Nyerere, Kijitonyama, Masaki na Upanga. Hata kama ni mtaa...
Huu mwezi ni wakati wa Wabeba boksi wengi kuja kula krismas home baada ya mihangaiko ya kusaka maisha ughaibuni ,karibuni sana sisi Wala vumbi tunaasubirieni kwa hamu,ila sasa mjitahidi kupunguza...
Wapendwa wana Malangali na wote wenye mapenzi mema na shule kongwe ya Malangali iliyoanzishwa tarehe 16/4/1928, kwa niaba ya kamati tendaji ya muda ya Malangali Alumni Association, napenda...