Nyumba Inapangishwa Tabata Mawenzi

SaraM

Senior Member
Sep 8, 2011
162
109
kwa yeyoye mwenye kuhitaji kupangisha hiyo nyumba anipm kwa maelekezo zaidi
ni nyumba ya vyumba vinne, ina sitting room kubwa, jiko na choo cha ndani, pia na cha nje. maeneo ni
tabata mawenzi.
 
kwa yeyoye mwenye kuhitaji kupangisha hiyo nyumba anipm kwa maelekezo zaidi
ni nyumba ya vyumba vinne, ina sitting room kubwa, jiko na choo cha ndani, pia na cha nje. maeneo ni
tabata mawenzi.
Bei?

Umeme upo? jenereta? Maji?
 
Unahitaji mwenye kupangisha au kupanga?
Ngoja niperuzi jukwaa la Lugha kwanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom