Natafuta laptop used but in gud condition

Madoido

Senior Member
Jan 24, 2011
134
15
Hello wadau wa jf, natafuta laptop used lakini iliyo kwenye hali nzuri, nipo Dar naomba kama kuna duka sehemu zinauzwa mnishauri

nawakilisha

Mpiganaji
kinondoni.
 

Bigirita

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
15,866
7,161
Ipo Dell latitude D 430. Good condition, one owner, very slim and and stylish.
Ni-pm kama unaihitaji.
 

Biohazard

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
2,186
1,403
Nenda mkabala na Hobour view tower kuna duka linaitwa Tokyo computers kwa brand za HP ukajichagulie au mtaa wa kongo pia kuna RAM computers kwa brand za dell
 

Madoido

Senior Member
Jan 24, 2011
134
15
Wadau nawashukuru sana, jf idumu daima milele na milele....lakini kama kuna source ingine tafadhali post
 

Ng'wanambula

Senior Member
Oct 2, 2011
197
53
Mbona hujaweka specifications?unaponunua vitu kama laptops, gari nna electronics zingine lazima uwe na specifications. Mi ninayo na ndio natumia hata kukujibu.It is in best condition,RAM 2GB,HDD 160GB,Intel (R),Pentium (R),Duo core, DVD writter,OS (Windows 7), TOSHIBA.Bei ni 600,000/= tu
 

mlengamillo

Member
Nov 19, 2007
9
0
ninayo
,RAM 4 GB,HDD 300 GB,Intel (R),Pentium (R),Duo core, Processor speed 2.3 hz, DVD writter,OS (Windows 7), TOSHIBA.Bei ni 500,000/= tu ...zimebaki chache, text 0769 319764
 

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,536
5,642
Achana na kununua vitu used. Kuna duka moja lipo Posta, mitaa ya Akiba (chuo cha DIT) linaitwa COMPUTER ZONE, hawauzi used, ila bei zao ni za kawaida sana. Wanakupa gerentii ya mwaka mmoja.

NB. Achana na kununua used, usitumie bidhaa second hand.
 

GHANI

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
708
290
Hello wadau wa jf, natafuta laptop used lakini iliyo kwenye hali nzuri, nipo Dar naomba kama kuna duka sehemu zinauzwa mnishauri

nawakilisha

Mpiganaji
kinondoni.

kuna mdau yupo kariakoo anauza used zenye ubora wa hali ya juu, na bei ya chini,mwenyewe utafurahi,namba zake ni 0784321551 or 0715321551.
 

Salvio Mwenda

Member
Jun 7, 2010
19
4
mkuu nna Dell latitude D620. Ina window 7 32bits, duo cuo processor. RAM GB1, HDD 80, DVD ROM, WIFI, BLUETOOTH, I was using since april this year. In good condition and working well. Bei 380,000 tu akiwa interested call me 0717 312184. Nipo kawe
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom