Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Hp pavillion dv6 hdd 700,ram 6gb,core i5,web-beì 1m(mpya), dell xps17 hdd 600,ram 6gb core i5,webcam-bei 950(mpya). Hp pavilion dv6(old model) hdd 320,ram 2gb,webcam bei 700. Dell n5010...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Used, price 600,000.. Text me on 0759243224
0 Reactions
1 Replies
965 Views
mambo vp' nauza hiyo torch 9800 ni mpya kabisa na inahitaji tshs. 650,000/=. Serious buyer nicheki kwa 0655003510
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hey any one wth HTC desire with affordable price drop me a txt on 0715705050
0 Reactions
22 Replies
2K Views
blackberry bold 9780 white for sale. Its brand new kwa tshs. 480,000/= Call 0655003510
0 Reactions
5 Replies
2K Views
ni mpya na original siyo mchina 8gb memory unlock.ipo full na kila kitu chake...bei 450,000 nitafute 0713 51 05 78
0 Reactions
1 Replies
1K Views
sony erickson xperia x2 inauzwa tsh 250,000/= if u r interested check me on 0715 70 50 50
0 Reactions
1 Replies
1K Views
HTC surround 7 used 16 gb memory but ipo ktk hali nzuri mno bei 430,000 maongezi yapo ina kila kitu chake wasiliana 0713 51 05 78
0 Reactions
3 Replies
1K Views
T-mobile my touch slide 4G kama inavyoonekana kwenye picha inauzwa kwa sh 600,000. Bidhaa ni mpya kabisa kwenye box lake. Kama upo interested tafadhali ni PM. Nipo dar
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Iwe kwenye hali nzuri. Ofa yangu 100,000. Aina ya Samsung dau litapanda kidogo. Ni PM kama unayo.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Anaeuza au kujua napoweza kupata hiyo series season 1 full ani pm tupatane bei hata burned poa but picture quality iwe poa
0 Reactions
4 Replies
1K Views
-Ni 4stroke (bajabi nzuri kuliko 2stroke, na TVS, ) -ipo katka hali nzuri kabisa, inafanya kazi kwa maintanance ya bajaj mpya (kumwaga oil na vispea vidogo vidogo) -Ipo dar es salaa. -Inji na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Vipo vitano vimepimwa na vina hati miliki. Kila kimoja kina ukubwa wa mita za mraba 1200. Bei 12mil kwa kimoja. Huduma ya umeme ipo karibu. Viwanja vipo umbali wa kilomita 12 kutoka feri. Karibu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
:A S 465:Ile ofa ya kukupa wewe 10% ya malipo yatakayotokana na kuleta kazi ya website (YAKO au ya MTU mwingine) bado inaendelea. Ahsante kwa wanao respond na ambao wameleta proposal zao...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kiwanja hiki kina ukubwa wa 4000sqmetres. kina hati, anaye hitaji ani pm.
0 Reactions
18 Replies
3K Views
iwe na vyumba vitatu vya kulala kimoja kiwa master,iwe na uzio, pia parking ya gari ya kutosha. iwe maeneo ya ubungo, kimara mwisho mbezi. bei yake isizidi laki tatu kwa mwezi ninahitaji haraka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nyumba iwe na master pamoja na vyumba viwili vya kulala, sebule kubwa dining, parking ya gari na iwe ndani ya uzio. iwe maeneo ya kuanzia ubungo kufuata moro road mwisho mbezi. bei isizidi laki...
0 Reactions
0 Replies
961 Views
kama unataka gari kwa bei poa inawezekana utaangalia minada ya magari live kupitia kwenye kifaa maalumu nilichokujanacho kutoka Japan,utaweza ku-bid gari wewe nyewe kupitia computer iliofungiwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
jenereta hii ina 120HP, na 65KV. na ni three phase. pia unaweza kutumia kwa single phase. hii ni used from UK.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
unahitaji milango yenye ubora kwa mbao za mkongo na mninga kwa bei nafuu sana?tuwasiliane tafadhali.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…