Wapi ntapata Fundi Mzuri Engine za Ford?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapi ntapata Fundi Mzuri Engine za Ford??

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Shark, Feb 5, 2012.

 1. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,096
  Likes Received: 7,342
  Trophy Points: 280
  Wadau,
  Nahitaji kufanyia Services Gari aina ya Ford Galaxy,
  Tatizo ni kua nimekua nikitumia mafundi wa mtaani ambao naona kama wananiharibia tu gari.
  Please nisaidieni kama mnawafahamu mafundi/garage specific za haya magari hapa Dar.
   
 2. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuna duka barabara ya Mandela kituo cha Matumbi baada ya junction ya kwenda Tabata kama watokea Ubungo mkono wa kulia, pale wanauza vifaa vya Mazda na Ford pale pia kuna mafundi wa magari hayo mawili I guess! Pembeni ya duka kama hatua kumi na tano hivi kuna gereji muulize fundi anaitwa Babu yeye ana deal na Mazda huenda akakuelekeza fundi mzuri wa Ford ama kama wataka kibosi zaidi uende Posta pale kwa wakala wao!
   
 3. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,096
  Likes Received: 7,342
  Trophy Points: 280
  Ahsante mkuu, wanafungua leo Jumapili??
   
 4. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,096
  Likes Received: 7,342
  Trophy Points: 280
  Kaka jana nimefika pale wakabaki wanashangaa tu Gari,
  Wadau msaada please!!!
   
Loading...