Ipo mbagala anazasa imekamilika ujenzi bdo kupaua/kuezeka tu. Ni self ina vyumba 3,dinning,sitting,jiko,master room na vyumba viwili vya kulala na karo la maji machafu limekamilika ujenzi. ipo jirani na shule ya msingi Nzasa. hatakiwi dalali, 0762 358915