Kiwanja kinauzwa - Arusha

Ngorunde

Platinum Member
Nov 17, 2006
4,109
8,341
Kiwanja kizuri kabisa kinauzwa, kiko Njiro maeneo ya Kikokwaru. Huduma ya maji na umeme ipo karibu.

Ukubwa: mita 35 x 70
Bei: Mil. 45 Tsh.

Mwenye kuhitaji ani- PM.

Karibu sana!!
 
Duh..! Mkubwa hapo umeporomoka sana. Hebu jisachi zaidi angalao kwenye 40+.
 
mbona Bei kubwa mkuu maana cc tuna nyumba iko maeneo ya kwa mrefu meter 120 kutoka main road kiwanja kina ukubwa wa 35x35 nyumba ina ghorofa moja ina vyumba 5 na kimoja master na imezungushiwa ukuta na bei yake ni 125Ml.
 
Nimewasikia wakuu, ila kwa eneo kiwanja kilipo pamoja na hali ya kiwanja chenyewe, hiyo bei ni poa kabisa. Ila kwa anayehitaji karibu ndani tuongee hakuna litakaloshindikana.
 
Nimewasikia wakuu, ila kwa eneo kiwanja kilipo pamoja na hali ya kiwanja chenyewe, hiyo bei ni poa kabisa. Ila kwa anayehitaji karibu ndani tuongee hakuna litakaloshindikana.

embu elekeza vizuri mkuu umbali gani kutoka uhasibu
 
embu elekeza vizuri mkuu umbali gani kutoka uhasibu

Sorry kwa kuchelewa kujibu, kiko upande wa magharibi ukiwa uhasibu kama km 1.5 hivi kupitia barabara iliyoko chini ya nyumba za wafanyakazi wa tanesco.
 
Hatimaye nimefanikiwa kuuza kiwanja changu. Niwashukuru wadau wote mlioshiriki kwa namna moja au nyingine katika kufanikisha shughuli hii. Haswa SHARK kwa kuchokoza mada pamoja na Aspen kwa swali lake ambalo baada ya kulijibu nilipata wageni wengi kiasi cha kufanikisha hili zoezi. Mnunuzi wangu sijakusahau ila ninazingatia masharti!! Ahsante kwa wote!
 
hongera sana mkuu mteja wako atakuwa jirani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom