Samsung B5702 inauzwa bei nzuri....

Samsung B5702 inauzwa bei nzuri....

tizo1

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
861
Reaction score
159
Habari za wakati wadau.nauza samsung b5702 kwa shilingi laki 110000.nimetumia muda mfupi.inatumia lain 2.ni original.ina 1gb memory card.betry na chaja vipo safi.ukiipenda ni pm au andika hapa hapa kwa mapatano.
 
Poa. Punguza hiyo kumi ibaki kamili kama unaridhia!

nbs wamesitisha kuja huko...wakianza tuambiane....au shauli jins ya kufanya.poa nitakupa kwa laki coz ninashida
 
Back
Top Bottom