Nauza shirt la ukweli.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauza shirt la ukweli....

Discussion in 'Matangazo madogo' started by matumbo, Feb 5, 2012.

 1. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Nauza shirt la ukweri sana,lipo kwenye hali nzuri sana..lina rangi ya pink,nyekundu kidogo kwenye ukosi na mikono ina rangi ya blue..
  Nililinunua sikukuu ya xmas 2011,kwa sasa linanibana ndio maana naliuza..

  Aliye siriaz anitafute.
   
 2. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  ....Dah!
   
 3. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  mie navaa xxxxL.
  Kama ni size hiyo ntanunua taja bei
   
 4. Masakata

  Masakata JF-Expert Member

  #4
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Mhm!,haya matangazo mengine ni kushusha hadhi ya Jf jamani,...hebu tuwe serious wadau...
   
 5. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #5
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,140
  Likes Received: 7,394
  Trophy Points: 280
  Kwa style hii hata mimi nitaanza kuuza zile nguo zangu ndogo za ndani (chup!) zinazonibana.
   
 6. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #6
  Feb 6, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mpe ndugu yako au rafiki anayelihitaji .... mambo ya kuuza shati ulilolivaa ni dalili za uzembe.
   
 7. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #7
  Feb 6, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Hawa ni watoto wa shule jamani, msameheni bure!
   
 8. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #8
  Feb 6, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  kuwa siriaz kidogo kama unataka tufanye biashara.
   
 9. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #9
  Feb 6, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  hadhi ya Jf ni nini?kuuza magari na nyumba pekee?acha kujifanya bab kubwa na kudharau biashara za wenzako.
   
 10. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #10
  Feb 6, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  usijekushangaa akawa ndio mkufunzi anawakatia modules wadogo zako..jipange!
   
 11. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #11
  Feb 6, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Walio serious jamani tutafutane,bei tutaelewana.
   
 12. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #12
  Feb 6, 2012
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Bei tutaelewana ndiyo nini???!!! Weka bei hapa na picha.
   
 13. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #13
  Feb 6, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Mkufunzi mwenye kuvaa shati la Rangirangi kwenye kola, mikono, mabega kama kachumbari ya mboga!....hizo type za bongofleva tu, na kama wewe ni mtu mzima unavaa shati la hivyo na likikubana UNAUZA unahitaji msaada mkubwa!
   
 14. Ghost

  Ghost JF-Expert Member

  #14
  Feb 6, 2012
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Enheee na mimi ntahamishia hapa banda langu la nyanya, vitungu, nazi, mchicha, matunda n.k....naona watu wanatupiga bao hapa sasa!!
  Tena kuna kuku tulishindwa kumula xmas, mama koku akasema eti tutakula pasaka...sasa nampiga mnada hapa.. Wadau mpooooo??
   
 15. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #15
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Picha pse
   
 16. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #16
  Feb 7, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Hilo ni tangazo la mwaka ,aliyelitoa tunampa nishani ya tangazo bora la mwaka hapa JF,tokea nimejiunga hap JF aina hii ya tangazo ndio nalisoma leo,ama kweli hujafa hujaumbika ,tutaona mengi kwa kadri siku zinavyoenda mbele,haya ndio yale ukishangaa ya Musa utayaona ya .............
   
Loading...