msaada

msaada

Naby Keita

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2011
Posts
12,891
Reaction score
20,129
jamani anaepata guest au lodge hku kigamboni ani pm nimekimbia geto jangwani ila npo kwa msela huku
 
Upo kwa msela huyo ndio muokozi wako au niseme ndio RED Cross/Crescent wako sasa lodge ya nini, unalako jambo ambalo umeona kwa muokozi wako huwezi kulitimiza. kama unazo sana kwa nini usibakie pale kwa wahanga wenzako Jangwani na shule ya msingi Mchikichini mkazitumia na wahanga wenzako na Mungu angekuruzku mara elfu. napata kahisia na kaharafu kaubazazi unataka kukatekeleza kupitia janga lililopo.
 
upo kigamboni ipi?
nijuze nikufuate, nikurudishe hapa kambini mchikichini shuleni
 
Back
Top Bottom