Ibrahim K. Chiki
JF-Expert Member
- Apr 5, 2011
- 594
- 163
Wadau, kwa mwenye kuweza nisaidia, nna kahela kangu kadogo, nataka nunua kagari ili kurahisisha shughuli zangu za kila siku...napenda starlet o swift ambayo ina hali nzuri kidogo. Nashukuru.