Boresha Tangazo lako weka vifuatavyo:-
-Picha ya unachouza
-Specifications
-Zinapotatikana na mawasiliano
Asante sana.
weka habari kwa uzuri uone pm zitakavyofululiza, isije ikawa brother kaweka dukani kwake na wewe unatafuta cha juu. We need Specification + Price
nimekosea kidogo mkuu,nashukuru kwa kunisahihisha,ipod ndio latest ila ipad ni ipad1,image zitakuja soon maana me ni mkoani na hizo zipo Dar,specs hizo hapo juu!ziko na full accesoriesHaujaeleweka kaka, hasa hapoo kwenye iPad, ni iPad2 Au 1? specifications zake ni zipi? Naomba na bei tafadhali, kama unaona noma kuzibandika hapa unaweza kunifowadia kwa pm. Thanx
Ni mpya au uzed?ipod-4th gen, 64GB, 3G, na ipad 1st gen,64GB, 3G
ni used like new mkuu
Weka picha tuone. Isije zikawa za wale jamaa zetu wafupi wenye Macho Madogo.