WANA JF,NAHITAJI DISPLAY YA DELL LATITUDE XT2,KWA YEYEOTE ANAYEJUA INAPOPATIKANA AN IPM.
MODEL HII NI TOUCH SCREEN NA SCREEN YAKE INAZUNGUKA 360 DEGREES
THANKS :poa
Waombolezaji wakiondoa jeneza lenye mwili wa Mkurugenzi wa zamani wa Mkuu wa Radio Tanzania Dar es Salaam (TBC), David Wakati, baada ya misa ya kumuombea iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu...
new Iphone 4s 32Gb for sell 3 days old in bongo land USD 1200 inakuja na cover ya uhakika na screen protector ya kiyoo cha nyuma na mbele na ukitaka ma apps over 100 tunakurekebishia...Mawasiliano...
Nyumba mpya kabisa na ya kisasa iliyopo maneo ya sakina nyuma ya Diamond Motel jijini Arusha inapangishwa kwa bei nafuu kabisa.
Sifa za nyumba
1 Large Sitting Room
1 Master Bedroom
2 Bedrooms...
Pinda anainadi tovuti hiyo!jiulize gharama iliyotumika ku develop web site hiyo utalia!jee serikali ingetumia nguvu hizo kuinadi mlima kilimanjaro kuingia ktk maajabu 7 ya dunia ingekua na tija...
4Gb ram, 750Gb ,3.66ghz DvD rewriter, built in webcam, bluetooth, wi-fi, wlan and inakaa na charge 6 hours bei ni 1,200,000/= MPYA KWENYE BOX get me on 0713079282
Nyumba ipo maeneo ya Magomeni Mapipa karibu kabisa na barabara ya Morogoro (ni kama dakika 3 hivi toka barabarani).
NB: HAKUNA UDALALI
Kwa maelezo zaidi na jinsi ya kuonana na wahusikai...
Mitsubishi FUSO inauzwa,
Imetumika Nchini miaka miwili na nusu, Iko katika hali nzuri sana, na inafanya kazi ya kwenda mbeya hadi leo, Ina engine ya 16, Gia 5, 7500cc, Inabeba tani 10. BEI...
Mawakala wa kusambaza matrekta mapya aina ya aina ya Massey Ferguson, John Deere na New Holland wanahitajika nchini kote. Ofisi zetu zipo katika barabara ya Samora, jengo la Kervin House 1st...
Ndugu wapendwa, natafuta domestic bread slicer ya bei ndogo. Nimejaribu kutafuta Arusha nikaikosa ingawa duka la London Bazar walikuwa nazo kwa bei ya laki 4 Tsh na zikaisha. Mwenye taarifa kuhusu...