Nahitaji Toyota funcargo au toyota corola Ae 111, ya bei ndogo. Inayotumika na mswahili mwenzangu, bei isizidi Tsh 4000000/- mwenye nayo ani pm, pia aonyeshe picha yake.
Naomba ushauri,nataka kuweka tangazo na picha kwenye Jf.
Nimeona ndovu wameweka lao na mimi ningependa niweke jirani na Ndovu.
maana ukisha pata moja ya baridi unakuwa na hamu ya kiti moto.
Je...
Am looking for
Blackberry 9000
or
iPhone 3g
Or any other phone with OS (operating system)
My budget- 150,000/-Tshs
IF any major au minor problem, will buy maybe but plz mention !
nauza mashamba kigamboni eneo la mkokozi/lugwadu napima kuazia nusu eka 5mil. Halina hati miliki zaidi ya barua ya serikali ya kijiji na risiti. Lipo km 20 kutoka ferry, umeme haujafika , barabara...
Ninatoa huduma ya kurudisha data (data recovery) kwa hakika, haijarishi ni siku ngapi zimepita na wala kwamba kuna waliotangulia walijaribu wakashindwa. Software zangu niza viwango katika ubora...
kuna rafiki yangu mmoja anatafuta chumba kikubwa na kizuri cha kupanga maeneo ya Ngarenaro, Kaloleni, ILBORU na maeneo ambayo yapo mjini. Chumba hicho kiwe self contained. Kwa yeyote mwenye...
Nyumba inapangishwa kwenye shared compound. Ipo ndani ya fensi. Ni nyumba yenye vyumba viwili vya kulala na kimoja ni master. Ina sitting room pamoja na jiko. Kuna sehemu ya kupaki gari. Ipo mbezi...
Habari za leo wanajamii. Natafuta nyumba ya kupanga mwezi mmoja wakati namalizia mjengo wangu. nyumba iwe ya vyumba viwili au vitatu. Mimi niko Dar es salaam.
Kiwanja kina hati kimepimwa, eneo zuri, nyumba imezungushiwa fensi ya matofari, ina master b/room, vyumba 3 vya kulala, s/room, d/room, Jiko, mabanda ya uwani, Gereji, na maegesho ya gari. Maji ya...