Dekoda(king'amuzi)cha Star Times kinauzwa.

jchofachogenda

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2012
Posts
537
Reaction score
123
Ninauza Dekoda ya Star Times kwa bei nafuu sana.Sababu ya kuuza ni kuwa nataka kubadilisha ili niweke Dekoda ya DSTV. Kwa anaehitaji anitumie Private Message kwa mawasiliano zaidi.Kumbuka bei ni karibu ya asilimia hamsini ya bei ya dukani.Unangoja nini? niPM sasa.
 
Kula 20
 
He! we mteja ni noma, yaani hata bei ujaijua unaomba HATI PUNGUZO? By the way kama kweli upo serious na biashara basi nitumie Private Message. Lakini kwa elfu ishirini haina maslah,na kama hapo ndipo ulipofikia basi usiniPM..
 
Back
Top Bottom