Nyumba ya kupanga inahitajika

Nyumba ya kupanga inahitajika

Uswe

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2,204
Reaction score
627
Natafuta nyumba ya kupanga, iwe na vyumba vya kulala viwili au zaidi.

iwe eneo lolote dar es salaam.

mwenye taarifa naomba aniPM
 
Natafuta nyumba ya kupanga, iwe na vyumba vya kulala viwili au zaidi.

iwe eneo lolote dar es salaam.

mwenye taarifa naomba aniPM
Ipo mbezi makonde vyumba 2 vya kulala, choo ndani kwa ndani,jiko, sitting room, fenced na parking kubwa. bei 200,000 kwa mwezi.
 
Ipo mbezi makonde vyumba 2 vya kulala, choo ndani kwa ndani,jiko, sitting room, fenced na parking kubwa. bei 200,000 kwa mwezi.

habari ndugu, je hiyo nyumba bado ipo?? na kama ipo napataje mmawasiliano??
 
Ninayo ya 2 bedrooms Tabata Bima - Mpya ndio imemalizika kujengwa.

Call me on 0763-475977
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom