Toyota Vitz Inauzwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Toyota Vitz Inauzwa!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by culman, Mar 20, 2012.

 1. c

  culman Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Toyota Vitz ya mwaka 2001, iko kwenye hali nzuri, imetumika kwa muda wa mwaka mmoja tu tangu itoke japani. Hakuna dalali, bei ni 7.5m. Kwa maelezo zaidi piga 0713/0783-592490/ 0765-413120.
   
 2. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Weka picha yake hapa ndio ingekuwa vizuri.
  ---Believdat---
   
 3. s

  suzyo Member

  #3
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 26, 2008
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  weka picha na information zaid ya hapo
   
 4. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Weka pcha jombaaa tuithaminishe na Millage afu kama vp tuluke kwa hewa ss ili twende sawa
   
 5. c

  culman Member

  #5
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rangi ni pink, mileage 112000km, picha kesho mzee!! Haijagongwa wala kugonga.
   
 6. k

  kasenene JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2012
  Joined: Jun 6, 2008
  Messages: 717
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 80
  ladba 4m ntakupa
   
 7. c

  culman Member

  #7
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 8. c

  culman Member

  #8
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zifuatazo ni picha zilizopigwa leo tarehe 21/3/2012. Kama umeipenda tunaweza kuongea.
   

  Attached Files:

 9. Mabwepande

  Mabwepande JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Million 2.5
   
 10. NOT FOUND

  NOT FOUND Senior Member

  #10
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Vitz ikishatembea zaidi ya kilometa laki moja inakuwa scrapper.
   
 11. c

  culman Member

  #11
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah! Jamani tuwe na busara, hivi unapata faida gani ukiandika mambo yasiyo na busara?? Naamini mpaka mtu aweze kuingia kwenye hii site bila shaka anaelimu fulani, hivyo nakushauri uitumie vizuri elimu hiyo itakusaidia na itasaidia na wengine.
   
 12. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #12
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  mbona bajaji mpya inauzwa 5m inakuwaje hii yako unauza 7.5M tena imetumika sana
   
 13. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #13
  Mar 22, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,725
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Hiyo siyo bajaj mkuu,if you r not interested ni bora ucchangie jamaa anafanya business wengine wanaleta utani mm km mfanyabiashara huwa inanikera sn tu
   
Loading...