Karibu Afritrack,
Afritrack ni alama ya biashara iliyosajiliwa ya Laiki Technology Limited ambayo ni kampuni iliyoanzishwa mwezi wa Aprili 2006 na ni moja ya kampuni za kwanza kuleta huduma za...
Nyumba ipo mtaa wa kangaye kata ya nyakatNYUMBA INAUZWA IPO MTAA WA KANGAYE-NYAKATO-MWANZAo-mwanza ipo karibu na shule ya secondary KANGAYE, ina vyumba 3 na sebule, Ndani Kuna lipu na Bomba za...
Chumba kipo Gongo la Mboto Maeneo ya Kaburi Moja Mwisho wa Lami. Kina choo ndani,kioo ndani ya geti , kina madirisha ya vioo,tailiz, feni ya juu na usalama upo wa kutosha.
Anayetaka aje...
Nauza paka/nyau.
Ni domestic cats, species aina ya Felis Catus.
Location:
Makongo Juu (opposite na nyumba ya Professor Rwekaza Mkandala)
Mawasiliano:
0718 727210 (Whatsapp/SMS)
Bei:
540,000/=...
Habari za leo wakuu?
Natafuta eneo kubwa la ardhi (Babati Manyara)mjini liwe karibu na barabara ya lami umeme na maji viwepo karibu na eneo.
Bajeti yangu milioni tano keshi.
Wadau,
Nahitaji sehemu/kiwanja kilichotizamana na barabara kwaajili ya kuweka kontainer la biashara.
Iwe Bagamoyo road kuanzia Tegeta mpaka Mapinga Bagamoyo. Iwe na mkusanyiko wa watu na huduma...
Wengi hawajui hili ukitoa DStv ambayo ni worldwide Startimes ni king'muzi bora sana
Ukiwa na Startimes kwa shilingi 21,000 unaangalia
Ligi kubwa za ulaya
Lalita spain
Bundaslige ujerumani
Ligi...
Ceramized mineral stone plaster/Marble wall coating.
It is decorative and colored surface coating material prepared by mixing acrylic copolymer based binders and the natural granules of colored...
Kisiwe mbali sana.Gari moja au daladala nauli isizidi 1000.
Sehemu yenye umeme.umbali usizidi Km 15 mpaka city center.
Kiwanja kiweze kujenga vyumba 4 kiwe na Ukubwa mita 500.
Ofa yangu...
Tigo wameboresha Vifurushi vyao vya malipo ya baada kama ifuatavyo.
DATA ONLY
15K......15GB
30K......35GB
40K.......48GB
60K.......72GB
100k........120GB
COMBO
15K........10GB + dakika 400...
Habari za muda huu wana jamvi,
Leo nawaletea faida na hasara za biashara ya kujenga nyumba na kuuza almaarufu kama “JENGA UZA”
Hii ni biashara nzuri sana kwa wawekezaji ambao hawataki stress...
Habari za wakati huu?
Hii ni kwa wale wote wenye mapenzi au wanaovutiwa na shughuli za kilimo na ufugaji hususani ufugaji wa samaki
Tuna toa huduma ya kuuza Vifaranga/mbegu bora ya samaki aina...
Habari,
Kwa mnaohitaji vifaa vya production, cameraman, editor, graphic designer karibuni
Tunakufanyia kazi yako kwa usahihi na umakini mkubwa
Mawasiliano yetu ni 0685416752
Baada ya chuo kusajiliwa na NACTVET kwa namba REG/NACTVET/VTC/0845 mafunzo ya salon kuanzia kusuka nywele mitindo mbalimbali na masuala yote ya urembo sasa yatakuwa katika mfumo rasmi ambapo...
Habari wadau,
Nauza godown.
Lipo mkata handeni barabara kuu irudiyo msata/pwani
Lipo kilometer 2 toka mkata stand
Lipo meter 100 toka barabara kuu itokayo mkata kurudi pwani
Maji yapo mpaka...
Ninauza nyumba ipo Mwanza maduka 9, maji na umeme vipo, nyumba ipo jirani na barabara kuu ya maduka 9 kiloleli.
Bei naanzia 16 Milioni, maongezi kidogo yapo.
Simu 0717072172.