Plot4Sale Nauza godown

DRIVE

Senior Member
Aug 14, 2014
145
111
Habari wadau,

Nauza godown.

Lipo mkata handeni barabara kuu irudiyo msata/pwani
Lipo kilometer 2 toka mkata stand
Lipo meter 100 toka barabara kuu itokayo mkata kurudi pwani
Maji yapo mpaka site, eneo lina ukubwa wa square meter 7200 limepimwa lina hatimiliki- tittle deed no 1
Eneo lina jengo dogo la vyumba viwili master vyote unaweza tumia kama ofisi pia.

Bei ni milioni 250 mazungumzo yapo kwa atakayehitaji, pia kwa atakayefanikisha kuuzwa kuna percent yake tunaweza set mkataba kabla ya biashara, unaweza kulitazama kwenye picha hapo chini wasiliana nasi kwa namaba ya simu 0678 925 359
 
Attachments

  • godown (1).pdf
    925.5 KB · Views: 13
Picha zinaweza kuvuruga wateja..sema ukubwa wa hilo ghala kwa kutumia vipimo
 
Habari wadau,

Nauza godown.

Lipo mkata handeni barabara kuu irudiyo msata/pwani
Lipo kilometer 2 toka mkata stand
Lipo meter 100 toka barabara kuu itokayo mkata kurudi pwani
Maji yapo mpaka site, eneo lina ukubwa wa square meter 7200 limepimwa lina hatimiliki- tittle deed no 1
Eneo lina jengo dogo la vyumba viwili master vyote unaweza tumia kama ofisi pia.

Bei ni milioni 250 mazungumzo yapo kwa atakayehitaji, pia kwa atakayefanikisha kuuzwa kuna percent yake tunaweza set mkataba kabla ya biashara, unaweza kulitazama kwenye picha hapo chini wasiliana nasi kwa namaba ya simu 0678 925 359
Unamaanisha kweli million 250 au hiyo sifuri imejiweka yenyewe bahari mbaya?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom