Msaada: Kampuni inayosafirisha mizigo moja kwa moja mpaka Babati Mjini

Msaada: Kampuni inayosafirisha mizigo moja kwa moja mpaka Babati Mjini

Twinawe

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2016
Posts
2,552
Reaction score
5,676
Naombeni anayefahamu kampuni ya mizigo unayosafirisha mizigo moja kwa moja mpaka babati mjini.
 
Hadi Babati ukitokea wapi Kigoma,Tabora au Morogoro?
 
Nenda jangwani kuna makampuni yooote pale utachagua ww tu
 
Kiongozi kutokea CHINA to BABATI. Kuwa makini utatapeliwa mzigo wako
 
Back
Top Bottom