Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Shamba lenye ukubwa wa ekari 6 linauzwa kibaha kwa mathias kilometa moja kutoka morogoro road ni eneo flat linafaa kwa kujenga yard,shule au matumizi mengine kwa anayehitaji wasiliana na Swedi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, naombeni mnielekeze sehemu hapa dar ambayo nitaweza kununua refill kit kwa ajili ya catrages za HP, nimetembelea sehemu nyingi hapa dar wengi wao wanarefill tu hawauzi tonner au...
0 Reactions
1 Replies
946 Views
Napangisha nyumba yenye vyumba 28 , ipo ostabey barabarani , kwa aliye serious tuwasiliane 0657 14 55 55 mimi ni agent. asante.
0 Reactions
0 Replies
896 Views
habari zenu wana JF! Natafuta mtaalamu wa ku design a small in-ground swimming pool (for domestic use only). Nimeomba quote toka kampuni moja ya ujenzi wameniambia bei ambayo naona iko inflated...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Bb curve 8520-200,000/- Bb bold 9780-400,000/- Samsung galaxy tablet gt-p1000 - 950,000/- .....pm or txt to 0763 530 330 thnxxxx
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakubwa, Nauza hiyo Bold Inakua na charger na earphone Bei ndo hiyo 350000 Napatikana Dar na unaweza nichek kwa namba 0655-003510 kama unahitaji.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Brand:Nissan Model: Nissan march Year of manufacture: 2001 Colour: lighty blue Location : Dar es salaam Kilometer: 100000 Other features: DVD music system,alloy rims,tinted ,good...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
WHITE IN COLOUR ,YEAR 1992,ENGINE 4S MANUAL ,1800cc,PRICE 4.5M CONTACT 0785165777 IKO KWENYE HALI NZURI .
0 Reactions
9 Replies
1K Views
used but in good conditíon stìll.bei 500,000/=. Cell:0713656256
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nyumba inapangishwa Mbezi luisi, mabasi yanapogeuzia. Vyumba vitatu vya kulala, kimoja master bedroom, jiko, sebule kubwa na dinning room. ipo ndani ya fensi na kuna tenki la maji lita 1000...
0 Reactions
0 Replies
948 Views
Nyumba inapatkana mbezi makonde, ina vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko na choo cha ndan(public toilet), iko kwenye shared compound, car parking kubwa. Kodi kwa mwezi ni Tsh 200,000 kwa miez...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
uta mwalimu kwa ajili ya kulea na kufundisha watoto kwenye kituo cha kulelea watoto kuanzia march 5. awe na uzoefu wa kulea watoto, awe na elimu ya malezi ya watoto, na awe na upendo kwa watoto.
0 Reactions
0 Replies
947 Views
low density plot with clean title deed at geza ulole area needed.10m offer
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ipo kwenye hali nzuri, haina tatizo lolote. Any serious buyer pm me or call me through 0614109566.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
S Nokia 5233 Quad Band Unlokced Touch Screen Phone (Black) Nokia 5233 (the cheapest touchscreen device from Nokia) delivers total music and great experience at a very affordable price. Enjoy up...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mitsubishi Pajero io for sale (year 1999), millage 87,000 km. price Tzs 13ml. imported from Japan in July 2011. It is in a very good condition. If interested call on 0784 623395/0655623395. email...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ipo kwenye hali nzuri, haina tatizo lolote.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jaman wana Jamii mi ni kijana mmoja wa vijana waliomaliza kidato cha sita mwaka huu na nipo ARUSHA,nina tafuta tempo kwa kipindi hichi ninachosubiria matokeo ili mradi tu iwe ni kazi halali na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nyumba ya kupanga ipo mbezi juu kupitia massana hospital (mbezi beach).Ipo kuanzia tarehe 1/3/2012. Inamaster bedroom, vyumba vingine viwili, toilet na small sitting rm. Gharama yake ni Tsh...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu naomba mnishauri kwa shilingi Milioni 3 naweza pata kiwanja kizuri maeneo gani? Angalau kisiwe pembeni sana ya DSM ukubwa usiwe chini ya 20x20. Je inawezekana kumpata mtu anayeuza kiwanja...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…