Natafuta Nyumba Ya Kupanga Maeneo ya kuanzia Usa-River mpaka Ngulelo Arusha

TheTruth

Member
Apr 1, 2012
29
3
Wana JF, natafuta nyumba ya kupanga iwe ni self ndogo yenye vyumba viwili vya kulala na mengineyo muhimu, maji na umeme pia yawepo, Iwe maeneo yeyote kuanzia Usa-River mpaka pale Ngulelo Arusha au kwa ndani ndani kidogo kuelekea Meru juu. Naomba Mtu yeyote mwenye taarifa ya upatikanaji wa Nyumba hii anisaidie kwa hili! Asante
 
Gdlucky thanks for that info....naomba niambie ipo maeneo gani then na contact details zako kaka niweze wasiliana nawe
 
Nimekupata kuhusu nyumba ipo arusha maeneo ya daraja mbili ina maji,umeme na ni self contained.bei ni maelewano.tuwasiliane kwa no o713988677.nyumba ina room 3 jiko na baraza.
 
usa river leganga kuna 3 bedrooms house maji yapo umeme upo chumba kimoja ni self kodi kuanzia laki tatu
 
Thanks Tesha....asante kwa mawasiliano kaka nitakupigia simu ....naitwa Shayo..huko daraja mbili ni maeneo yapi?
 
Ipo maeneo ya fire karibu kabisa na mji wa arusha unateremka kupitia barabara ya clock tower na tanesco arusha then fire.kesho ntakuwa on the way to arusha so kama utapenda tutafutane.
 
Aspen..thanks kwa info kaka!!..naomba contact zako kaka niweze wasiliana nawe..
 
Ni mjini arusha kuna umbali wa kama robo saa kufika town.nimeshindwa nikueleze vip nadhan we ni mgeni arusha so jaribu kudodosa naimani utaelekezwa vizuri.karibu arusha ukisha paulizia ukapajua vizuri nilivyokujulisha tutahitisha hayo mengine.lyaakucha
 
Ipo maeneo ua shangarai Arusha - mosh road. Ukuta na get lipo. 100 meters from main road. 0756296443
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom