Nina mdogo wangu ambaye amemaliza kozi ya kushona nguo lakini natafuta fundi atakayempatia uzoefu wa kutosha
awe anajuwa kudarizi pia
atapata malipo gani?
1. Kodi atakuwa halipi ya mkataba wa...
Ina room 3 moja ni master, jiko sebule , dining na vyoo vya ndani. Gari inafika hadi mlangoni bei yake ni tshs 25,000,000/= nyumba imekamilika mtu anahamia tu kwa maelezo zaidi 0712976729
Namtafuta mtu anayeitwa Mr Omari Kiwanda.
Aliwahi kuwa mhasibu wa polisi wilaya ya Korogwe, then akahamishiwa Polisi Morogoro kwa kazi hiyo hoyo. Baada ya hapo mawasiliano naye yalipotea...
hey guys natafuta ipod touch used ya kununua by the end of the month mshahara ukitoka...kama upo interested please PM me your number,price na specification za ipod then mwisho wa mwez au kabla ya...
Mashine hiyo bandugu, Fair price kama unavyoona (400,000 cash), Haipandi haishuki
Specification:
HDD 120GB
Ram 2GB
Processor 2GB
Ina web camera pia
Pm me is you want it
Habarini
Nataka niingie Kariakoo nikanunnue generator:
Tanesco ikikata umeme home kwangu nataka niwashe Generator kwa matumizi yafuatayo
Taa
fridge
tv
Hiyo fridge sio lazima sana.
Kwa mwenye...