nokia n900 inauzwa

nokia n900 inauzwa

dgratius

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2012
Posts
218
Reaction score
11
condition safi kabisa unapata na chaji
Bei 500000 inapungua kwa maelewano
Nyeusi
Haijawai kutengenezwa
Imetumika
 
Laki Tatu nicheck kama uko fresh nije kuchukua Faster
 
bei ya mwisho 450000
Ina hali nzuri sana kama mpya.
 
kwanini umeamua kuiuza? isije ikawa imekuzingua unaamua kui-dump ki-style???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom