Ni nzima inatembea na haina matatizo yoyote. Gari ipo Dar.
Ni manual ,Imekua chini ya uangalifu wa DT DOBIE Kwa Muda wote
BEI 18.500,000/= GARI IPO DAR. Unakarishwa kuikagua njoo na fundi...
CATS-NET Limited is an Internet Service Provider (ISP) specializing in the Provision of of turnkey Information Communication Technology (ICT) solutions such as providing high speed Internet and...
Zile Darubini za kwenye maabara aina ya JAICO BINOCULARS MICROSCOPE-Dual Power (zinatumia umeme na Solar kama umeme ukikatika-equiped) zimewasili kwa anehitaji anitafute ,Bei ni Mil.1 ila...
Nyumba ina vyumba 4 na 2 uwani gari haingii mpaka ndani inaishia jirani inafaa kwa matumizi ya familia moja au mbili
kodi ni 280,000 kwa mwezi. haipo mbali na barabara . kwa muhitaji makini...
"Jiji limenishinda kuhanjahanja bila issue ya msingi naeza kuwa kibaka, nna mpango wa kufungua kijiduka cha biashara kwa bidhaa mchanganyiko; kwa yeyote mwenye kujua center nzuri ya biashara na...
Mwenye heka moja Kibaha aseme nije kununua kiwanja(kisiwe karibu na barabara,hapa naogopa bei) na kama shamba liwe na wakazi kidogo maeneo hayo lisiwe polini kabisa.
Brand New ACER Aspire 5733
With 1 Year Warranty!
Processor: Duo core 2.1
Memory : 2GB DDR3
Hard drive: 320GB
Webcam,DVD RW card-reader!
Free Dos
1 year Warranty.
Price; Tzs 650,000/-
Call me...
Kwa wanao hitaji ramani za nyumba tuwasiliane 0715321662, mimi ni mchoraji wa hizo ramani.. From Ardhi University
NB: kama hauna nia tafadhali usiwe msumbufu
Habari wana jamii nauza laptop Yang yenye specification zifuatazo;
Model;HP G50 win 7
Memory;2GB
Hard disk;120Gb
Processor;Intel (R) Pentium (R)
Dual CPU T3200@2.0GHz
Bei Tsh 400,000
Bei ni fixed...