Wakuu nina computer dell pentium 4,Hd 160gb,Ram 512,screen hp 21 inch. Siyo flat ina vga pin mbili means unaweza ku tumia cpu 2 on the same monitor.
Contact 0719081205
Wakuu,
anayehitaji moja ya bidhaa hizi ani PM
Majadiliano yapo.
0655123683
0759123683
Safisha Nyumba mimi...
Bidhaa
Bei
Maelezo Zaidi
Dish Futi 6 na decoder yake(Mediacom)
180,000
Madishi ya...
Nina eneo kubwa zaidi ya nusu heka hapa Upanga Dar - Es - Salaam,eneo ni zuri kwa ajiri ya kitega uchumi , kama apartment n.k , eneo lipo kiharali na kila nyaraka muhimu ipo. eneo limezungushiwa...
Wadau nategemea kuhamia arusha mapema mwezi ujao kwa neema ya mungu.naitaji nyumba au vyumba viwili vya kupanga.sio mwenyeji arusha ila ofisi yangu itakua eneo la njiro karibu na chuo cha esami...
Hello!
Make & Model: Toyota Platz 2001,
Imported: 2008
Engine:1000cc
Km: 70,000
Automatic, Power Windows, CD Player, Fuel Efficient, Comfy, and in Excellent Condition.
Contact :0715140247.
Kwa huduma za designing na printing invitation cards
business cards
bronchures
callenders
banners
printing
posters
fliers
logos
na Public Relation and Advertising ideas and planning. Tunajali...
Tunasupply electronic door locks kutoka germany. Kifupi tu ni kuwa hivi vitasa vinafunguliwa na kadi za kielectronic.
Faida ya hivi vitasa
Alarm ya uvamizi(burglary alarm)
Alarm ya kukukumbusha...
Ndug wana JF.,Habari zenu..
Nauza bajaj 2 aina ya 2stroke zipo katika hali nzuri na zinatembea barabarani.
Kwa kila moja bei yake ni sh MILLIONI MOJA NA LAKI NANE (Tsh 1,800,000).
Zipo eneo...
Kiwanja kimepimwa na tayari kimewekwa jiwe, ndani yake kuna nyumba 2. eneo lipo sehemu nzuri sana kwa matumizi ya biashara ya Shule , chuo au unaweza badilisha matumizi ili kiendane na matakwa...
wakuu kuna ipad one 64 gb WIFI 3g used for 1.5 month.
ios 4
scratchlss best condtion just charger na cover nyeusi ya kufunika kote.
najaribu kuweka picha inagoma.
bei 720,000 tsh...
Heshima mbele wadau...!!
Kama upo Arusha na unahitaji Computer Used Bomba...Tuwasiliane........
Zipo HP DC7600 (CPU 3.0GHZ, 1GB-RAM, 80GB HDD Windows 7 Ultimate) + HP 17"TFT Monitor (Flat...
Natafuta chumba cha kupanga, maeneo ya SINZA, KIJITONYAMA na MWENGE, Uwezo wangu wa kifedha ni shilingi 50,000/= kisiwe uswazi na ikiwezekana MWENYE NYUMBA asiwe anaishi hapo.