Scania 113/380 Truck

Mfikilwa

JF-Expert Member
Mar 11, 2008
408
116
Scania 113/380

Year 1994

bei milioni 58, in two week time nitakuwa nimeshaitoa bandarini, truck hipo safi. dalali ama mnunuzi just pm me Scania 1.jpg Scania 3.jpg Scania 5.jpg Scania 6.jpg Scania 7.jpg
 
Kwa bei hiyo ndugu yangu sijui kama utafanikisha mteja mapema ikizingatiwa ni gari ya zamani watu wako kwenye semi sio puling lakini tutafikisha habari kwa wadau
 
Back
Top Bottom