Kiwanja cha ukubwa 15 hecters , kinauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja cha ukubwa 15 hecters , kinauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Akiri, Jun 22, 2012.

 1. A

  Akiri JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Kiwanja kimepimwa na tayari kimewekwa jiwe, ndani yake kuna nyumba 2. eneo lipo sehemu nzuri sana kwa matumizi ya biashara ya Shule , chuo au unaweza badilisha matumizi ili kiendane na matakwa yako, tutakusaidia kufanya hayo. kiwanja kipo Kisarawe mkoani Pwani. bei ni Tsh. 80,000,000.

  Pia kuna kingine cha sq 9000 hiki kipo kigamboni Kibada kimepimwa na kipo kwa matumizi ya shule au chuo bei yake ni 300,000,000.

  pia kuna heka 50 zipo wilaya Temeke eneo la mvuti, unafika mbagara, unapanda magari yaendayo mvuti hiki hakijapimwa ila serikari ya kijiji cha hapo wanasema ramani waliyopewa na halimashauri inaonesha eneo hilo limetegwa kwa makazi ya watu bei yake ni Tsh,100,000,000.


  KWA MAHITAJI YA VIWANJA HIVYO NILIVYOTAJA , NA VINGINE VINGI KAMA MASHAMBA NA NYUMBA ZA KUNUNUA AU MAENEO YA KUWEKA UBIA ( JONT VENTURE) TUWASILIANE 0657 145555, 0755 099 291 NA 0686 200 117 AKIRI.
   
 2. A

  Akiri JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Pia kuna heka 4 zipo mbezi ya kimara, ni umbali wa 6km kutoka mbezi luis. barabara nzuri inapitika mpaka eneo husika. na si lazima mnunuzi anunua zote heka 4, hata heka 1 inaruhusiwa, eneo lipo kihalali kwa maana kuna taratibu za usajiri wa eneo zinaendelea. bei ya heka zote nne ni 86,000,000 . tuwasiliane kwa anayehitaji
   
 3. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  ...Mkuu, maili sita kutoka mbezi Luis katikati kuna njia panda moja inaenda kutokea Mbezi Beach na nyingine inaelekea upande wa Mbezi makabe, msakuzi na kuendelea. Ekari zako ziko upande upi? eneo linaitwaje hasa hasa? kwa maana hiyo Ekari moja ni Shs Milioni 21??
   
 4. A

  Akiri JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Asante eneo linaitwa mbezi msumi, hekari moja ni sh 25,000,000
   
 5. A

  Akiri JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  kwa mnaotaka maelezo ni vizuri mkapiga cm au msg, sababu sio wakati wote nakua na mtandao, mara nyingi nakuwa nje mji kuangalia viwanja, kuuza na kusaini mkataba wa makubaliano ya mauzo.
   
 6. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  ....Niko mitaaa ya Makabe ndio maana nikawa najiuliza kiwanja cha ekari 1 Milioni 25 ni wapi ili nami nimshitue ndugu yangu aliyekuwa anauza chake Milioni 10 apandishe Dau!!
   
 7. A

  Akiri JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Hujatulia mkuu, mimi ni dalali haya maeneo yametengwa kwa ajiri ya makazi sasa mara nyingi ktk heka koja hata watu sita wanaweza chukua, kwa mfano kule chamazi huwa wanaoza mikuu 20 x 20 kwa 4m. unaweza ukaona kwa nini bei inakuwa hivyo. lakin ni vizuri kama watu 4 wakaugana na wakachukua heka moja . watapata eneo la 2500sq kwa kila mmoja ambalo linatosha nyumba ya vyumba 3 na kubakiwa na sehemu ya kujenga maengesho ya magari.
   
Loading...